• 9849-xxx-xxx
  • taarifa@elimuraia.com

Tanzania’s Electoral Commission Bill 2023: A Step towards Independence or a Mask of Autonomy?

Overview The National Electoral Commission Bill 2023, currently stirring up contention in Tanzania, could greatly impact the composition and autonomy of the National Electoral Commission (NEC), a critical entity for fair and free elections. Amidst rising tensions, CHADEMA, the leading opposition party, has called maandamano – a peaceful demonstration set for January 24, 2024, in Dar-es-Salaam. In addition to other […]

Muswada wa Tume ya Uchaguzi 2023: Hatua kuelekea Uhuru Wake Kamili au Mwendelezo wa Uhuru wa Mchongo?

Muhtasari Muswada wa Sheria ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi 2023, unaoibua mabishano nchini Tanzania hivi sasa, unaweza kuathiri kwa kiasi kikubwa muundo na uhuru wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), ambacho ni chombo muhimu katika kuwezesha uchaguzi huru na wa haki. Wakati mvutano ukiongezeka, CHADEMA, chama kikuu cha upinzani, kimetangaza maandamano ya amani ambayo yamepangwa kufanyika Januari 24, […]

The Port Contract Saga and Tanzania’s Political Culture

Overview Every sovereign country across the globe encompasses one or more unique political cultures. Such cultures influence the language chosen for communication, the practice of religion, and interpersonal interactions. These cultures are deeply rooted in societal traditions and shared historical experiences. Similarly, a unique political culture also exists within each individual. This article explains the concept of political culture, its […]

Sakata la Mkataba wa Bandari na Utamaduni wa Kisiasa Tanzania

Muhtasari Kila nchi huru duniani kote inajumuisha tamaduni moja au zaidi za kipekee za kisiasa. Tamaduni kama hizo huathiri lugha inayotumika kwa ajili ya mawasiliano, dini inayoabudiwa, na mawasiliano baina ya watu. Tamaduni hizi zimekita mizizi katika mila za jamii na uzoefu wa pamoja wa kihistoria. Pia, kila mtu ana utamaduni wa kipekee wa kisiasa kulingana na historia binafsi. Makala […]